Bukobawadau

BREAKING NEWS: MBUNGE WA MBEYA MJINI CHADEMA APATA AJALI.

 
Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi amepata ajali hivi punde katika eneo la kasheki wilayani Hanan'g akielekea Arusha mjini.

Joseph Mbilinyi maaru Sugu alikuwa akielekea Arusha mjini kuungana na wabunge wengine katika shughuli ya kuaga marehemu waliolipukiwa na bomu kwenye mkutano wa Chadema, mwishoni mwa wiki iliyopita.  

Katika ajali hiyo hakuna mtu yoyote amejeruhiwa, Mbunge huyo yuko salama, gari la Sugu limeharibiwa vibaya baada ya kugongana na basi la abiri
Next Post Previous Post
Bukobawadau