Bukobawadau

BUKOBA YETU NA CAMERA YETU

Kumekucha na hekaheka tayari zimeanza ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba
 Mitaa ya Nkango, kwa mbali ni shule ya Msingi Bilele, Kushoto ni Modern Bar, kuelekea NSSF ya zamani ndani ya mji wa Bukoba.
Kama kawaida watu na Nokia ringo mkononi . 

Next Post Previous Post
Bukobawadau