Bukobawadau

GARI LA MAHARUSI LAPATA AJALI LIKIWAFUATA KUELEKEA KANISANI

 Gari lenye nambari T 632 BRP lililokuwa likiwafuata maharusi jina kapuni  limepata  ajali jioni hii Kati ya makutano ya Old Kashai road na barabara ya arusha  jirani na Soko kuu ndani ya manispaa ya Mji wa BUKOBA
 Muonekana wa dereva wa gari hilo aliyekuwa akikimbizana na muda wa kuwafuata maharusi kuwapeleka kanisani.
Ajali hiyo imehusisha gari hii pichani aina ya Toyota Corolla
 Mkusanyiko wa mashuhuda wa  tukio hilo
Kila mtu na tafsiri yake kufuatia tukio hili
Next Post Previous Post
Bukobawadau