Bukobawadau

MAONYESHO YA SABASABA MKOANI KAGERA KUANZA LEO JUNI 25

Maandalizi ya mabanda ya biashara ndani ya jengo la CCM Mkoa.
Muonekano wa Jengo linalomilikiwa na chama cha mapinduzi la mkoa wa Kagera ambalo maonyesho ya sabasaba yatafanyika kuanzia leo juni 25 hadi julai 7, mwaka huu.


Picha kwa hisani ya Audax Mtiganzi
Next Post Previous Post
Bukobawadau