Bukobawadau

Mbunge wa Mbeya mjini, mhe Joseph Mbilinyi (Sugu), aomba radhi kwa mhe Pinda na watanzania kwa ujumla kwa lugha aliyotumia katika kuonyesha hisia zake juu ya kauli aliyoitoa mhe Pinda bungeni. Amesema haya kwenye page yake ya FB, "ndugu watanzania, naombeni radhi kwa tusi nililolitoa kwa mhe Pinda, kwani nilikua nimeghafirika, halikuwa kusudio langu kumtukana mmoja wa viongozi wa nchi."

Next Post Previous Post
Bukobawadau