Bukobawadau

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEM JUVENARY KABERUKA EDWARD HUKO KARAGWE

 Picha ya marehemu enzi za uhai wake
 Sehemu ya wanafamilia


 Sehemu ya watu walioudhuria mazishi 

Mmoja kati ya watoto wa marehemu.

                                 Safari ya kuelekea makaburini kuupumzisha mwili wa marehemu Juvenary Kabekura
Shughuli ya mazishi ikiendelea.


Uncle Salum Mawingo mmoja wa wadau anayeshiriki shughuli za kijamii kwa njia moja ama nyingine.
 Ibada ya mazishi ikiendelea kulia aliyeshika kipasa sauti ni  Mulangira Optat Henry(Mkwe wa familia)
Ni taswira ya shughuli ya mazishi ya Marehemu Juvenary Kaberuka Edward.
Msalaba ukisimikwa kaburini.

Wadau Mr.Kabunga kulia na Mr.Magongo nao walikuwepo kutoa support kwa wafiwa
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WANAFAMILIA WOTE WA MAREHEM JUVENARY KABERUKA EDWARD .
Next Post Previous Post
Bukobawadau