Bukobawadau

SAIDA KAROLI AZUSHIWA KIFO

Kumezuka habari zisizo rasmi juu ya mwanamuziki SAIDA KAROLI. Tunaomba kuthibitisha kuwa Mwanamuziku huyo ni mzima wa afya kabisa .Saida Karoli ni mzima, yupo jijini Dar es Salaam na hajafariki dunia kama inavyoelezwa
Next Post Previous Post
Bukobawadau