Bukobawadau

VIKUNDI VYA NGOMA ZA ASILI VYACHUANA KATIKA UWANJA WA KAITABA

 Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Ziporah Pangani ambaye alikuwa mgeni rasmi.Mashindano ya ngoma za asili akitoa neno mchuano huuu umefanyika uwanja wa Kaitaba na kuhusisha  vikundi mbalimbali kutoka wilaya zote za Mkoa wa Kagera.
 Wadau walijitokeza kwa wingi kushuhudia mchuano huo

Mashindano yakiwa yamepamba moto
Wakati Bush anatupa msaada wa vyandarua dhidi ya Maleria...uko Bukoba vinatumika kwa staili ya nitoke vipi.







Ni habari matukio na Bukobawadau.
Next Post Previous Post
Bukobawadau