CHECK VIDEO YA MATESO YA KIJANA KIBAKA UKO UGANDA
KISA CHA MWIZI Huyu aliyenaswa nawanakijiji nchini Uganda akijaribu kuvunja dirisha la nyumba ili aibe....
Wanakijiji walipomnasa walianza kwa kumpa kichapo kikali kabla ya kumfunga miguu na kumburuza barabarani huku wengine wakiendelea kumshushia kichapo