Bukobawadau

DAWA YA UKIMWI SIO HII?

Ndugu yangu mpendwa,

 

Ni muda mrefu sasa toka nizisikie hizi taarifa za dawa inayotibu kabisa ugonjwa wa UKIMWI kugundulika huko Malawi. Nakumbuka ilikuwa mwaka 2007 mwezi mei.

 

Sikutulia nazo, nilizikalia macho na kwa kuwa kazi yangu ni kutafiti tiba haikuwa kazi ngumu sana kupata uhakika kuwa kweli hii dawa imeshawatibu watu wengi licha ya kutotibu wote waliojaribiwa. Sikuona kama itakuwa vibaya iwapo nitaileta dawa hii nchini na sisi tuwe mashahidi wa dawa hii endapo itatutibu.

 

Nilichogundua toka katika dawa hii ni kuwa mtumiaji huitumia kwa kuitia ndani ya uji kila siku asubuhi na kuinywa kwa siku tatu mfululizo, halafu atarudia tena baada ya wiki moja. Baada ya hapo dozi imekwisha na mgonjwa ataanza kupata nafuu kidogokidogo lakini baada ya miezi nane hadi kumi akipimwa basi atakutwa HIV- au pengine atakutwa amepatwa na anfuu kubwa sana na atatakiwa arudie dozi. Kifupi sio dawa yenye masherti mengi zaidi ya kutoacha dawa za hospitali na kuzingatia kanuni za afya za kawaida. Nimekuletea pia website zilizotunza kumbukumbu za habari zilizo gumzo nchini Malawi kuhusu dawa hiyo ambazo hata mimi zilinifanya niifuatilie habari hii kwa urefu na upana unaostahili.

 

Hapa ni website ya Dawa hiyo ambayo inatikisa vyombo vya habari vya Malawi kwa kutibu Ukimwi

http://garani.mw7.biz/about.php

 

Hadi dawa hii inakwenda mitaani, siku moja ikajikuta Facebook ikijinadi kuingia katika vipimo vya mamlaka za walaji za nchi kama TFDA na TBS pamoja na wengineo kibao! Soma hii.

https://www.facebook.com/permalink.php?id=468869019814456&story_fbid=559175760783781

 

Hapa tena wakatokea tena wengine wakidai dawa hiyo haitibu!

http://www.africacheck.org/reports/claim-that-malawi-wonder-herb-cures-hiv-and-aids-is-untrue-and-irresponsible/

 

Hapa wakaja Wazambia na Nyasa Times wao wakidai wanazitumia sana kutibu huko kwao na kweli watu wanapona! Soma hii usikie mambo.

http://www.nyasatimes.com/2013/06/05/malawis-hiv-herbal-cure-garani-mw1-zambian-herbal-interested-in-concoction/

 

Ukweli utabaki tu kuwa hapo kuna dawa ambayo ina kiasi kikubwa cha matumaini kwa wagonjwa wetu kupona. Simaanishi kuwa nautangazia umma kuwa dawa ya kutibu ukimwi imepatikana, la! Hasha bali ni njia sahihi kabisa inayoweza kupelekea tiba kutangazwa kuwa imepatikana endapo baadhi yetu tutaitumia hii dawa na kubahatika kupona na kisha kuwapa matumaini ya kuitumia wengine wanaoteseka na maradhi haya.

 

 Mimi binafsi nawashauri wenye matatizo ya haya maradhi kuwa bora wakanipigia tukayazungumza halafu nikawasaidia kuwaagizia hii dawa ili nao wajaribu bahati zao. Kwa haraka tu gharama zake zinafikia shilingi za kitanzania T.shs.682,500/= kwa dozi moja na utaipata baada ya siku 12 hadi 15 kwa hapa Dar Es salaam. Wale wa mikoani itategemea na mabasi ya mikoani yanayoanzan safari zake pale ubungo. Ila wakumbuke tu kuwa wasiagize wala kununua dawa hii kwa yeyote nchini Malawi wala hapa Tanzania kwa kuwawatu wengi tayari wameshatapeliwa hela zao na hawakupata dawa halisi hivyo kuongeza mateso juu ya mateso. Ukihitaji dawa hiinipigie simu na hakika nitahakikisha unapata dawa kweli na sio utapeli unaoendelea nchini Malawi na hapa Tanzania.

Binafsi sina ofisi kwa sasa baada ya kuvunja mkataba wa kuliandikia gazeti TABIBU nimebaki nikiendesha shughuli zangu nyumbani kwangu maeneo ya TAZARA - Dar Es Salaam hivyo ukinihitaji basi nipigie 0768 215 956 na nitakuelekeza mahali tuonane tuongee.

 

Tafadhali. Fikisha ujumbe huu kwa ndugu, jamaa na marafiki wote maana huenda katika familia yao kuna wagonjwa pia.

 

John P. Haule

+255 768 215 956  

Next Post Previous Post
Bukobawadau