Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MJINI BUKOBA

Barabara ya kashozi, kuelekea Nyakato,Bugashane, Kashozi, Bugabo, Kashai, Majengo, Kilimanjaro , NHC, Kisindi , Nyamkazi na maeneo mengineyo.
Anaitwa Bubu, Mdau wa siku nyingi mjini hapa ni kauzu, msela na ni mtata nyanja zote
Mitaa ya uswahilini , mjasiliamali wakiendeleza biashara ya vitumbua


Taswira mbalimbali mjini hapa.
Kikwetu kwetu msosi ukiandaliwa
Next Post Previous Post
Bukobawadau