Bukobawadau

HIZI NDIZO PICHA ZETU ZA LEO

Akiwakilisa mila na desturi(ekitegela)
Mdau Herbert Mutashobya na mkewe wakiwajibika kikwetukwetu
Muendelezo wa picha mbalimbali #team bukobawadau ‪#‎kikwetukwetu‬Tunatoa shukrani kwa IZAAS MEDICAL PROJECT maarufu kama mzee Raza Fazal au BGT kwa msaada mkubwa waliotoa kwa Mdau Lauren Laurent pichani aliyekuwa akisumbuliwa na uvimbe wa aina yake.
Ambapo kupitia bukobawadau tuliweza kufikisha swala hili na msaada ukapatikana na Ndg Lauren kuweza kufanyiwa upasuaji.


Huyo ni kipanya
Mdau Chrispine Muganyizi Ndyamukama akicheck na camera yetu.

Next Post Previous Post
Bukobawadau