Bukobawadau

KHAMISI YUNUSU NA SAFINA ABDUL ISMAIL RWABUKOBA WAMEREMETA HUKO KAMACHUMU

 Mzee akichakalika kupika msosi
 Maandalizi ya Mpunga yalikuwa hivi
 Mmmh, Raha ya shughuli ni mkao wa watu 6, sita, ukifanya kulemba utakuta patupu
 Wadau wakipata chakula ikiwa ni mwanzo wa shughuli .
 Duh!! kaka tonge lote utaliweka kinywani?
 Upande wa akina mama ilikua hivi katikati ni Mama lifat na Tonge mkononi,kushoto kwake ni Mama rahimu na kulia ni Mama Modi.
 No Excuse on swalaa kama walivyokutwa wadau hawa na Camera yetu wakipata swalaa.



Binti Sadick akicheza kidigital
 Watu mbalimbali walijitokeza katika sherehe hiyo.
 Watoto wa Madrasa wakiimba Kaswida
Mama Mody kushoto, Mama haruna Goronga katikati na Mama Hamis Gorongo wa mwisho kulia.

 Ustadh akitoa nasaha za ndoa
Hivi ndivyo umati ulivyoshiriki katika shughuli hii.
 Mc wa shughuli hii ndugu Salum Mawingu
 Ndoa ikifungwa na aliefungisha ni ustadh Hamduni alieshika Mic.

Sehemu ya wageni waalikwa.

 Mr.Abdul Ismail Baba wa  bibi harusi
 Mchakato wa ndoa ukiendelea

Salum Kapara Organizer Al Saqury aka Mawingo.
 Anaitwa Mama Hajara Shangazi wa bibi harusi
 Anaitwa Alhaji Nuru Galiatano akifatilia kwa makini mchakato mzima wa ndoa
 Maharusi wakiwa Pamoja mara baada ya ndoa, katikati ni Bi harusi Safina Abdul kushoto ni Bwana harusi Khamisi Yunusu
Mpambe wa Bi harusi Fauzia Ismail akimpongeza Bwana harusi
Kikubwa tunachoweza kujivunia bukobawadau ni kufanya kukufikishia flava za kinyumbani ikiwa tunafanya kujitoa, shukrani kwenu wadau nyote mnao endelea kufuatilia libeneke hili pasipo kubeza.
 Baada ya Ndoa shangwe na Ndelemo zikafata 
Ukoo wa King bila shaka.
 Nizaidi ya Kiduku...ilikua ni "waaaaaah "waaaaah wahhhh"
 Maustadh wakichapa dufu
 Twende................. ""waaaaaah "waaaaah wahhhh"
 Hakutakwa kupitwa na tukio katika Mambo ya Digital
 Maustadh mzuka ukapanda
 Swaga za kikaswida zikiendelea

Familia ya Mzee Galiatano katika picha ya Pamoja, Kutoka kulia ni Alhaji Sadick Galiatano akifatiwa na Mkewe Mama sauda, anaefuata ni mama Mama nurat akiwa na mmewe pembeni Alhaji Nuru Galiatano kwa pamoja katika nyuso za furaha.
Bukobawadau Blog tunatoa Pongezi kubwa sana kwa Maharusi hawa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau