Bukobawadau

NDANI YA UWANJA WA KAITABA MIEMBENI 1-0 BILELE NI MICHUANO YA KAGASHEKI CUP 2013

Miembeni yawakalisha Bilele na kusema sote wa hapa hapa Ukizingatia Kaitaba ipo miembeni hivyo ni home ground,na kwapa kichapo cha bao 1-0.
Ni mchezo ulioleta hisia kubwa miongoni mwa wadau, pichani anaonekana haji Abuba Sued ni Mkazi wa Miembeni ingawa ana element za kuikubali Bilele,pembeni kulia ni Mzee Kananga Abdul Abdallah Sued Kagasheki  akifuatilia mtanange huo.
Hivi ndivyo mambo yanavyo onekana.
Mdau Gulam Skandar akifuatilia soka.
Kimjini mjini jukwaa la Bilele, ingawa mwisho wa siku ngembe zimewashuka.
Taswira ndani ya uwanja wa kaitaba.



Next Post Previous Post
Bukobawadau