PITA PITA, LEO IMEDONDOKEA BARABARA IENDAYO KYAKA MPAKA KARAGWE,BUKOBA WADAU TUMESHUHUDIA UJENZI MKUBWA UKIENDELEA WA BARABARA IELEKEAYO KARAGWE
Barabara inayoelekea karagwe ikiwa ujenzi unaendelea kama unavyojionea katika picha, kutokana na kiangazi vumbi ni kubwa mno
Hapa ni maeneo ya Mwisa ujenzi mkubwa wa daraja ukiendelea
Kutokana na ujenzi huu, mdau huyu Bomoa bomoa inamuhusu
Kambi kubwa ya wakandarasi wanaojenga barabara hii
Ujenzi wa barabara ukiendelea
Bango la shule ya Karagwe Sec na shule ya Msingi Karagwe
Na hapa Bomoa Bomoa ilipita katika upanuzi wa barabara
Ofisi za Chama
Maeneo ya CRDB Bank tawi la Karagwe
Taswira mbalimbali barabara inayoelekea Karagwe
Sehemu hii ni kivutio kikubwa kwa jinsi ilivyochongwa kuukwepa mlima huu
Maeneo ya Kyaka
Kivutio cha mto Kagera
BUKOBAWADAU BLOG TUNAKUANGAZIA BUKOBA