Bukobawadau

SHAMBA LA MITI LINAUZWA LIPO WILAYANI MULEBA

SHAMBA HILI LINAUZWA;Shamba  hili lipo maeneo ya Buleza umbali wa km 2 kutoka Muleba mjini Mkoani Kagera ,
 Barabara inapitika mpaka shambani,Kwa  maelezo ya ziada unaweza kuwasiliana moja kwa kupitia Bukobawadau blog SIMU 0715 505043,0784 505045 ,O713397241 AU Wasiliana moja kwa moja na mmiliki Ndg Leonce Rukatila Phone 0765-419830
 Baadhi ya picha zinazo onyesha baadhi ya maeneo ya shamba hili
 Shamba linaulubwa wa hekali 4(nne)

 WASILIANA NASI KWA MAELEZO ZAIDI

Next Post Previous Post
Bukobawadau