Bukobawadau

TAARIFA KUTOKA KWA FAMILIA YA LYAKURWA KUFUATIA MSIBA WA MAMA YAO MPENDWA ; HALLO WAPENDWA TUNASHUKURU KWA SALA NA MAOMBI YENU. TUMEFIKA SALAMA MAZISHI NI LEO SAA TISA ALASIRI KIJINI MENGWE WILAYA YA ROMBO, KWA WALE WANATOKA MOSHI MJINI NI KM 40 KUFIKA HAPA.

Shughuli itaanza na ibada katika kanisa la Mt Peter Claver saa 7 mchana na kufuatia mazishi saa 9 alasiri nyumbani kwa familia.
Next Post Previous Post
Bukobawadau