Bukobawadau

TASWIRA MAZISHI YA MAREHEMU MAMA YAKE NA PROF. JAY KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JANA


 Mama mzazi wa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joseph Haule ama Prof. Jay,Mama Rosemary Majanjara enzi za uhai wake.
 Prof. Jay akiongea neno na Mh. John Myika alipokuwa kwenye msibani 


Mzee Haule, Mme wa Marehemu akiwa kwenye hali ya huzuni
Mtoto mkubwa  ambaye ndiye dada yake na Prof. Jay akiuaga mwili wa marehemu mama yake
Prof. Jay akiuaga mwili wa marehemu mama  yake


Marafiki wa Profesa J.

PICHA ZOTE NI KWA HISANI YA PAMOJAPURE
Next Post Previous Post
Bukobawadau