Bukobawadau

WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUKUMBWA NA DHORUBA ZIWA VICTORIA

 Mzee aliyezama akiwa anatolewa kwenye boti ya marine na kuletwa nchi kavu.
 Kijana wa mzee akiwa hoi baada ya kuokolewa na ameapa kwamba harudi tena majini!!!
Ni tukiola la juzi pichani ni Mzee aliyezama kuanzia saa 11 usiku baada ya kukumbwa na na dhoruba akiwa anafanya uvuvi ndani ya ziwa victoria na kuokolewa kesho yake yaani jana saa 2 asubuhi akiwa na kijana wake.
 Mzee huyo mwenye mbwembwe na makeke anadai ni mara ya nne kuzama  na kuokolewa.
Watu wa sumatra wamekuwepo katika mkasa huu, kikubwa kwa mzee mara tu baada ya kuokolewa amedai apewe sigara (fegi)avute kwanza!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau