Bukobawadau

CAMARA YETU IKIANGAZA PANDE ZA KIROYERA BEACH MCHANA WA LEO

 Picha ni  Mdau William Rutta wa Kiroyera tours Bukoba akiwa na wageni kutoka nchini Uganda waliofika mjini hapa katika ziara ya kuchangia watoto yatima
Sehemu ya wageni katika fukwe za KIROYERA kanda kando ya ziwa Victoria

 UJUMBE WA WANAKAGERA KUTOKA KWA MDAU WILLIAM RUTTA ''BUKOBA IS ALWAYS THE BEST, LEO TUMEPATA WAGENI TOKA WINGEREZA, SWEEDEN, DENMARK WAKO KUMI NA WAGANDA WATATU, WANACHANGIA WATOTO YATIMA WAMEENDESHA BAISKELI TOKA DAR WANAENDELEA HADI KPLA WALIPOFIKA KIROYERA BEACH BUKOBA WAMESEMA WATAKAA SIKU MBILI VILE NI PAZURI. TUBADILIKE TUPENDE KWETU TUACHANE NA VISIASA UCHWARA TUFANYE KAZI. NIKAFURAHI TENA WATOTO WA ISHOZI WANAOISHI LONDON NAO WAKASEMA WE LOVE KIROYERA BEACH NI WATOTO WA A.K . KARIBUNI TUENDELEZE UTALII KAGER
KARIBU BUKOBA KARIBU KIROYERA TOURS
Next Post Previous Post
Bukobawadau