Bukobawadau

CHECK PICHA ZA GARI LILILOTAKA KUWAUNGUZA WABUNGE

 Hivi ndivyo Wabunge wa Kamati ya miundo mbinu ambao wapo katika ziara ya kukagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Misenyi Mkoani Kagera walivyo nusurika baada ya gari lao kutaka kushika moto
Hali ya taharuki kwa waheshimiwa hao

Dreva wa gari hilo Ndugu Kakengi katika utayari iwapo gari lingeshika moto
 Picha zote kwa hisani ya Afisa Habari Mkoa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau