Bukobawadau

IBADA YA EID LEO VIWANJA VYA KASHAI MJINI BUKOBA

 Sehemu ya waumini waliohudhuria ibada ya Eid siku ya leo Alhamisi
 Ustadh Faraji akitoa neno


 Upande wa akina mama ilikua hivi
 Ustadh Athumani Akitoa Hutuba Shekh akisikiliza neno


 Sehem ya umati wa waumini waliohudhuria ibada hii


 Wingu la mvua likitanda mara baada ya swala ya Eid

 Shekh yazidi akiwa na familia yake mbele ya camera yetu
 Sir.loom Inc nilikuepo
 Maulamaa nao pia walikuwepo nyuma kabisa ni Shekh Mangi Saidi Mbele kabisa  ni Ramadhani Kambuga (RMK)
 Ramadhani Kambuga (RMK) wa kwanza, pembeni ni Yunusu Kambuga
 Waumini wakiondoka mara baada ya swala ya Eid

Next Post Previous Post
Bukobawadau