Bukobawadau

KIKWETU KWETU NA MADAU BEN MULOKOZI KATIKA KUSHEREKEA SIKU KUU YA IDD

Mdau Ben Mulokozi na timu nzima ya kikosi kazi mapema ya leo wakicheck na Camera yetu katika utayari wakufanya yao ndani ya viunga vya Mji wa Bukoba katika kusherekea Sikukuu ya Idd, pembeni kulia ni Mdau Bekatise Tinka.
Anaonekana Mdau Shafi wa pili kulia akipokea maelekezo ikiwa ni pamoja na mikakati ya wapi penye wahitaji kama jana ambapo Mdau Ben Mulokozi aliweza kutembelea kituo kimoja cha watoto yatima kilichopo ndani ya kata ya  Kitendaguro Manispaa ya Mji wa Bukoba.
 Muonekano wa Ben Mulokozi mbele ya Kipandio chake alichojaliwa Mola wetu wote!!
Muonekano wa Jengo la Victoria Perch Hotel mjini Bukoba
 Timu nzima ya Ben Mulokozi katika picha ya pamoja
Mdau Tinka na Mdau Ben Mulokozi
Kushoto kabisa ni Mdau Basibila, Credit kubwa kwake kwa kendeleza vyema ilani ya Mahusiano kwa wadau mbalimbali.
Next Post Previous Post
Bukobawadau