Bukobawadau

LEO TAREHE 23 AUGUST NI SIKU YA BIRTHDAY YANGU BLOGGER MC BARAKA.

NI KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA NAPENDA KUWASHUKURU NYOTE MNAO NITUMIA SALAMA ZA PONGEZI PIA WOTE MNAONITUMIA ZAWADI MBALIMBALI KIUKWELI SINA CHA KUWALIPA ZAIDI YA KUUWEKA UPENDO WENU MOYONI MWANGU
SHUKRANI KWA  TEAM NZIMA YA BUKOBAWADAU BLOG PIA SHUKRANI KWA MABLOGGER WENZANGU KWA USHIRIKIANO MKUBWA MNAONIPA.
Next Post Previous Post
Bukobawadau