Mwenyekiti wa CCM taifa azindua baraza la ushauri la wazee wa CCM mkoani Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya CCM Mkoani Dodoma,tayari kwa ufunguzi wa baraza la ushauri la Wazee wa Chama,kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa ndugu Abdulrahman Kinana na kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma ndugu Adam Kimbisa
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, na Makamu Mwenyekiti Bara Mstaafu John Samuel Malecela, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa ndugu Abdulrahman Kinana,Rais mstaafu wa awamu ya tatu Ndugu Benjamin William Mkapa,Rais mstaafu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ndugu Amani Karume wakati wa uzinduzi wa Baraza la ushauri la wazee wa Chama mkoani Dodoma leo.
i Katibu Mkuu wa CCM Taifa ndugu Abdulrahman Kinana akitoa salaam za utangulizi wakati wa uzinduzi wa Baraza la ushauri la wazee wa Chama