Bukobawadau

Ndege yaanguka Ziwa manyara ikitokea Bukoba

Ndege moja ya shirika la tans air ,ikiendeshwa na Capt Kondo imeanguka ndani ya ziwa manyara ambapo watu wamenusurika na zoezi la kuwaokoa kutoka majini linaendelea
Abiria wote walikuwa wakitokea bukoba katika shughuli ya mazishi.
Adv Protas Ishengoma ni mmoja  wa abiria hao
Bukobawadau blog tunamuomba Mungu ndugu zetu waweze kuokolewa salama!
Baadhi ya wadau walionusurika katika ajali hiyo
Next Post Previous Post
Bukobawadau