SWAHILI TV YAJITANUA HOLLYWOOD CALIFORNIA MAKAO MAKUU YA DUNIA YA BURUDANI NA MAMBO YA STAREHE
MKURUGENZI WA SWAHILI TV ALEX KASSUWI AIFIKISHA SWAHILI TV HOLLYWOOD KWA KISHINDO
Alex Kassuwi aka KING akienda kwenye moja ya mikutano ya kusaini deals, Hollywood blvd, California
Mpiganaji The CEO Davis Mosha akiwa katika mazungumzo na Mwanzilishi na Boss wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot
Crew mpya wa Swahili TV Bwana J akiwa na mkurugenzi Bwana Alex kassuwi (King)
Alex K. King akiwa na mkurugenzi wa Immigrant magazine Bwana Charles Anchang katika hotel namba moja L.A. JW Marriot.
Furaha baada ya Mkutano kati ya maboss wawili Alex na Charles
PICHA ZOTE NA SWAHILI TV
www.swahilitv.blogspot.co