Bukobawadau

BAKOBA 0-1 KAGERA SUGAR NI MCHEZO WA KUJIPIMA NGUVU ULIOFANYIKA KAGERA 'A'

 Kikosi kamili cha timu ya kata ya Bakoba maarufu kama 'mwanzo mwisho' kikiwa tayari kujipima ngumu na timu ya Kagera Sugar ndani ya uwanja wa Kagera A uliopo KIWANDANI.
 Timu ya Kagera sugar wakipasha kabla ya mchezo
Wachezaji wa Kagera Sugar wakiendelea na mazoezi kabla ya mtanange kuanza.
Mlinda mlango wa timu ya Bakoba

Upande mwingine  wakati mechi inaendelea kati ya Bakoba na t Kagera sugar,anaonekana Kaka Mkubwa  akiendelea na story za hapa na pale. 

Next Post Previous Post
Bukobawadau