Bukobawadau

CHECK PICHA ZA WAINGEREZA WALIOMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR WAKIWASILI NCHINI UINGEREZA

Hatimaye Katie Gee and Kirstie Trup, wasichana waliomwagiwa tindikali zanzibar wamewasili nchini Uingereza kwa matibatu zaidi. Familia zao zimetoa picha ya namna miili yao ilivyoharibiwa na tindikali.
 Majonzi makubwa kwa ndugu na jamaa wa familia zao.
Taswira ndege ikiwasili nchini Uingereza.
Next Post Previous Post
Bukobawadau