Bukobawadau

CHECK TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 LILIVYO IVURUGA DODOMA USIKU WA JANA.

Msanii mahiri ambaye kwa sasa anasumbua vilivyo anga ya muziki wa Bongofleva,Diamond akiwaimbisha mashabiki wake usiku wa jana kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,linalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa Jamuhuri
Mkongwe wa muziki wa kizaz kipya a.k.a Bongofleva Afande Sele a.k.a Baba Tunda a.k.a Simba Mzee akidhihirisha ukongwe juu ya steji ya tamasha la Serengeti linalofanyika usiku wa jana ndani ya uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma,ambapo maelfu ya watu washabiki wamejitokeza kushuhudia tamasha hilo ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka.
Mwanadada Rachael akiwajibika jukwaani
Mkali alierithi viuno vya Ray C, Rachel “Recho Kizunguzungu” akishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma usiku huu. Kwa picha zaidi nenda kwenye link ifuatayo
Ney wamitego na Diamond katika muziki gani
Umati wa watu kwenye uwanja wa Jamhuri dodoma.
Next Post Previous Post
Bukobawadau