Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU BUKOBA LEO SEPTEMBER 2,2013

Muonekano wa Barabara ya Kashozi mjini Bukoba, maeneo ya Bank ya CRDB.
Kituo kipya cha mafuta cha Olympic zamani kilijulikana kama BK kwa mzee Ladha.kilichopo barabara ya kashozi mkabala na  'memdall hall'.
Libeneke la Bukobawadau katika kushow love na wadau mbalimbali kitaani.
Kushoto ni Ndg Hamis Gebby , mdau wa siku nyingi sana  mjini hapa anaye endelea na maisha yake nje ndani nikimaanisha US& BK  akisalimiana na swahiba yake Haji Sadick Galiatano.
Zamzam shule ya msingi Bukoba
Mitaa ya Zamzam maeneoya kwa Kanati mkabala na kwa Goronga, kwa mbali inaonekana milima ya kibeta na kashura.
Kushoto ni kijana Athman Kaitaba akifurahia jambo na mwenzake Bennie Bennisho pichani kulia.


Next Post Previous Post
Bukobawadau