Bukobawadau

BAADHI YA PICHA ZA VISION MUSIC AMBASSADOR KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA

 Mh. Mgeni rasmi kanali Issa Njiku Dc Misenyi aliyemuwakilisha mkuu wa mkoa Kagera akiweka sahihi yake katika kitabu maalumu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Bukoba club.
 Pichani wadau na uongozi wa vision music ambassador wakiwat na mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya kupinga matumizi na biashara ya madawa ya kulevya.
 Neno kutoka kwa mgeni Rasmi.
 Bi Matrida akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Missenyi
 Sehemu ya meza kuu


 WanaonekanaWadau wa maendeleo wakifuatilia kwa umakini yaliyokuwa yakijadiliwa
Burudani mwanzo mwisho.
Bukobawadau blog tunakuomba wewe msomaji wetu uweze ku like ukurasa wetu mpya wa facebook kupitia link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
Burudani iliendelea baada ya kongamano
Picha kwa hisani ya Vision FM Radio
Next Post Previous Post
Bukobawadau