BI STELLA BRAIN WA BUGANDIKA BUKOBA ATOA MSAADA KATIKA VITUO MBALIMBALI
Gari aina ya nissan pick up likiwa limebeba vifaa vya aina mbalimbali
Pichani kulia anaonekana Bi Stella Brain, mwana kagera anayeishi nchini Ujerumani akikabidhi msaada wake wa kizalendo katika moja ya kituo cha afya kilichopo Mjini Bukoba.
Bi Stella ataendelea kutoa msaada katika hospital za Mugana na Ndolage
Msaada wa vifaa mbalimbali
Muonekano wa jengo la kituo cha Prinmat Ekisha Clinic kilichopo ndani ya kata ya hamugembe Mjini Bukoba kinachotoa huduma za kliniki kwa watoto na huduma ya ushauri nasaha
Bango la kituo cha afya cha Prinmant Ekisha.
Mdau Mama Magayane akitoa shukrani kwa Bi Stella Brain mara tu baada ya kukabidhiwa msaada wa vyerehani.
Mbele ya Ofisi ya Mama Magayane iliyopo ndani ya kata ya Hamugembe Mjini hapa inayojishughulisha na kutoa mafunzo ya ushonaji na ufumaji mara tu baada ya kupata msaada wa Vyerehani.