Bukobawadau

DIAMOND PLATINUMZ AKABIDHI IPAD KWA MSHINDI WA NGOLOLO

 Pichani Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul "Diamond Platinumz"akimkabidhi Ipad yenye thamani ya shilingi Milioni Tsh 1.2 mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya kupitia ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,mara baada ya kumalizika droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.Washindi 35 kila mmoja amejishindia Sh 50,000.Anaeshuhudia katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe
Mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya,aliejishindia Ipad kwa kutuma video katika ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania
Picha kwa hisani kubwa ya Michuzi Blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau