Bukobawadau

GARI LA AZAM LIKIWA NA SHEHENA YA NGANO LIMEPINDUKA MJINI BUKOBA

 Ndugu wadau hali hii inasikitisha, hivi ndivyo watu wanavyojaribu kutumia magongo ya miti katika zoezi zima la uokoa wa maisha ya mmoja wa raia anayeendelea kutahabika baada ya kupindukiwa na  gari
Ni ajali ya Gari lililobeba shehena ya ngano  liliopinduka maeneo ya Migera ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba,ni gari  lenye nambari T893 BPZ mali ya kampuni ya AZAM,uwenda watu kadhaa wakapoteza maisha kufuatia zoezi zima la uokoaji linavyo endelea kwa vifaa duni sana.
 Mkusanyiko wa watu eneo la tukio
 Muonekano wa shehena ya ngano.
 Harakati za uokoaji zikiendelea.ambayo dreva wa gari hili na utingo wake imedhibitishwa wamepoteza maisha.

 Mpaka tunatoka eneo la tukio ni watu wawili imedhibitishwa wamepoteza maisha, na jitiada za uokoaji zinaendelea.

 MDAU MSOMAJI WETU TUNAOMBA UJIUNGE NASI KWA KU LIKE TU, UKURASA WETU MPYA WA FACEBOOK KUPITA LINK HII  KWA HABARI ZA PAPO KWA PAPO GONGA: https://www.facebook.com/Bukobawadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau