SHEREHE ZA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU. KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA IRINGA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Samora huku akishangiliwa na mamia ya wananchi wa Iringa waliojitokeza katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2013
Rais Kikwete akiwasili katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2013
Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara
Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula
Sehemu ya umati wa wana Iringa
Sare za sherehe zilipendeza kila mtu
Ujumbe wa wadau wa Iringa
Mabalozi wa nchi mbalimbali walialikwa
Mabalozi wa nchi mbalimbali
Meza kuu
Halaiki ya watoto wa shule mbalimbali za msingi za Iringa
Rais Kikwete akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio zake Bw.Juma Ali Simai
Rais Kikwete akimpongeza kiongozi wa mbio zake Bw.Juma Ali Simai baada ya kukabidhiwa risala za kila wilaya mwenge huo ulipoita mwaka huu
Rais Kikwete akihutubia wananchi
Hotuba ikiendelea
Rais Kikwete akimpa zawadi Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt Ishengoma kwa kufanikisha sherehe hizo
Rais Kikwete akiwa na Mwenge wa Uhuru katika picha ya pamoja na mashujaa walioukimbiza nchi nzima
Rais Kikwete akiwa na wabunge Mhe Chiku Abwao na Mchungaji Peter Msigwa katika sherehe hizo
Rais Kikwete akisalimiana na Wakuu wa Wilaya
Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda wakiwapongeza vijana waliokimbiza mwenge mwaka huu
Rais Kikwete akiwapongeza vijana wa halaiki kwa kazi nzuri
Mama Salma Kikwete anajiunga na Rais Kikwete kuwapongeza vijana wa halaiki
Msanii IT kutoka Zanzibar akitumbuiza
Rais Kikwete akipokea CD toka kwa Msanii IT toka Zanzibar
Vijana wa kwaya ya JKT Makutopora wakitumbuiza
Vijana wakiigiza matokeo ya athari za UKIMWI
Sehemu ya maelfu ya wananchi waliohudhuria sherehe hizo
Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed akihutubia
Viongozi wa dini
Rais Kikwete akimpongeza kwa hotuba nzuri Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma risala ya ufunguzi
Mwalimu wa halaiki na vijana wake
Wakimbiza Mwenge wakiwa tayari kuukabidhi
Wakimbiza Mwenge wakisonga mbele kwa ukakamavu
Rais Kikwete akitoa hati kwa wakimbia mwenge wa mwaka huu
Hongera sana kijana
Kazi nzuri kijana
Safi sana Luteni...
Kinadada wakiwezeshwa wanaweza ati...
Hongera kwa kuongoza mbio za mwenge vyema
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013, Bw. Juma Ali Simai akisoma risala kabla ya kuukabidhi Mwenge kwa Rais Kikwete
Rais Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru toka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013, Bw. Juma Ali Simai
Rais Kikwete akiwa ameshuka Mwenge wa Uhuru baada ya kukabidhiwa rasmi
Rais Kikwete akiwa na waandaaji wa sherehe hizo Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Maendeleo ya Vijana Wanawake na Watoto wa Zanzibar Mhe Zainab Omar Mohamed (kushoto) na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo Tanzania Bara Dkt Fenella Mukangara
Kiongozin wa mbio za mwenge akisoma risala
Ujumbe wa Mbio za Mwenge mwaka huu
Mwenge wa Uhuru
Rais Kikwete akipokea risala toka kila wilaya Mwenge wa Uhuru ulipokimbizwa
Baada ya kumaliza kazi wakimbiza mwenge wakishangiliwa
Burudani ya ngoma ya Mganda
Rais Kikwete akielekea jukwaa kuu
Fundi mitambo akiwa kazini
Wanahabari wa Iringa wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete
Umati ukisikiliza hotuba ya Rais Kikwete
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia
Sehemu ya viongozi wa taasisi mbalimbali
Zifuatazo ni taswira za viongozi wa taasisi mbalimbali wakipokea zawadi za vikombe na hati
Mkuu wa mkoa wa Iringa akipokea kikombe na hati kwa kufanikisha sherehe hizio
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema akielekea kupokea zawadi ya wilaya yake
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema akipokea zawadi ya wilaya yake
Hongereni sana
Hongera
Pokea zawadi hii
Washindi wakipokea mfano wa hundi
Kiongozi toka Zanzibar akipokea zawadi
Hundi kwa Zanzibar
Mshindi wa jumla
Rais Kikwete akimpongeza Bw. Salim Abri kwa kuwa mmoja wa wafadhili wa shughuli hiyo
Hongera na asante kwa kufanikisha sherehe
Rais Kikwete akimshukuru Mama Lillian Mashaka wa PCCB
Rais Kikwete akiwa na Mwenge wa Uhuru
Picha na wakimbiza mwenge
Picha na washindi wa shughuli za mbio za mwenge wa uhuru
Picha na kamati iliyoandaa sherehe hizi
Picha na viongozi wa taasisi mbalimbali waliofaniisha sherehe hizi
Picha na viongozi wa dini
Rais Kikwete akiwashukuru viongozi wa dini kwa kujumuika katika sherehe hizi
Picha na mabalozi wa nchi mbalimbali waliohudhuria
Picha ya kumbukumbu
Rais Kiukwete na Spika Anne Makinda wakiwa na Mhe Jestina Mhagama, Mhe Peter Msigwa, Mhe Chiku Abwao na Profesa Msolwa na viongozi wengine
Mhe Peter Msigwa na Mhe Chiku Abwao wakijumuika na viongozi wengine
Picha ya pamoja na wabunge
Rais Kikwete akipozi na Wakuu wa Wilaya
Rais Kikwete akisalimiana na wakuu wa Wilaya
Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda wakiwapongeza wakimbiza mwenge
Vijana mmetia fora kwa halaiki nzuri.....
Safi sana vijana...
Rais Kikwete akisalimiana na vijana wa halaiki
Kanzi nzuri sana vijana....
Rais Kikwete akipozi na waalimu wa halaiki