Twanga pepeta kuwasha moto kanda ya ziiwa
Tukianza na mwanza,Twangapepeta ndani ya jokers live pub iloganzala ilemela tarehe 1nov kwa uchakavu wa 10000 tu! Mfahamishe rafikiyo hasikose uhondo huu. Tarehe 2 ziara inahamia desirepark geita na tarehe 3 tunamalizia na linas bukoba. Makofi kwa jokers live pub kutuletea uhondo kanda ya ziwa.