Bukobawadau

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani akutana na Watanzania Waishio Minnesota

 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani, Mrs Liberata Mulamula  na Mume wake George Mulamula Jumapili iliyopita alikutana na Watanzania wanaokaa Marekani Katika Jimbo la Minnesota.

Ni balozi anayetoka ushirikiano mkubwa sana na kujali maisha na mipango ya watanzania wenzake waliyonayo hasa katika kuendeleza nyumbani tutokapo.
zifuatazo ni sehemu ya picha atika hafa hiyo.
 Balozi Mulamula Perming with Smart in Minnesota
The Baliras. The Baitanis & Ambassador Mulamula
Next Post Previous Post
Bukobawadau