BUKOBA YETU LEO 9 NOVEMBER 2013
Mapema ya leo jumamosi tarehe 9 november ndani ya viunga wa mji wa Bukoba , ni pitapita za hapa na pale na wingu kubwa likiwa limetanda.
Usawa wa fidodido barabara ya Sokoine.
Moja ya kijiwe maarufu mjini hapa kwa habari nyepesi nyepesi 'Kwa mshamu' nakutana na wadau wakibadilishana mawazo.
Sehemu ya wadau wa mji wa Bukoba wakicheck na Camera yetu, kulia kabisa na Ndg Eliad , kipindi cha nyuma alitamba sana na akina digadiga, black Moses na tito Jackson katika swagar zetu zile.
Mvua ikiwa inaendelea kunyesha
Neema ya mvua ikiwa inaendelea.
Mdau Sheikh Idrisa akicheck na Camera yetu
Ofisi kwa Mh. DiwanI Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta nakutana na wadau pichani
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta , Mdau Samwel Lugemalila na mwanamama pichani kulia kama walivyokutwa na Camera yetu
Kushoto ni Mdau Chui na ndg Thomas pichani kulia.
Makutano ya barabara ya Jamhuri na Kashozi
Hapa ndipo kilipo kiwanja kibwa cha starehe kilichofunguliwa hivi karibuni
Yote juu ya yote ni swagar za kijana Rama Kashai marufu kama Rama Kachaa.
Bwana Rama akienjoy Mkate kwa Konyagi.