Bukobawadau

HIVI NDIVYO NDIZI ZILIVYOADIMIKA SOKONI BUKOBA!!

 Hali ya soko la ndizi mjini Bukoba kwa siku mbili za jumamosi na jumapili nov 24,2013
 Taswira eneo zima maarufu kwa kuuza ndizi.
 Mikungu ya banana iliyopo sokoni
 Ndizi chache zilizosalia sokono


 Lango kutoka ndani ya Soko kuu Mjini hapa.
Mchana wa Jumapili nov24.2013 Mji ukiwa shwari baada ya mvua kubwa kunyesha.
Next Post Previous Post
Bukobawadau