Bukobawadau

FAMILIA YA MAREHEMU SADRU VISRAM YAANDAA DUA MAALUM KUWAOMBEA NA KUWAREHEMU WAZAZI WAO

Pichani ni watoto wanne wa kiume wa familia ya Marehemu Sadru Visram,ambao kwa siku ya leo Jumamosi Nov16,2013 wameandaa dua ya kuwaombea na kuwarehemu wazazi wao waliotutangulia mbele ya haki, kutoka kushoto ni Mzee , Nassor, Aziz na  Salim.
Muda mchache kabla ya shughuli ya dua kuanza
 Sehemu ya wazee walioshiriki dua hii kutoka kushoto ni Haji Haruna Mgula na Mzee Andulziad.
 Maulana kushoto na kulia ni Haji Habbas.
Mdau AbdulRahim  Kabyemela akimpokea Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta  mara aliwasili katika kushiriki dua hii.
Sehemu ya wanafamilia wakiwa katika utayari wa kuwapokea wageni waalikwa.
Wadau wakimlaki Sheikh Haruna , pichani kulia ni Haji Kazinja.
Utaratibu mzima wa dua hii ukiongozwa na Sheikh Idrisa Elias na hapa anakaribisha dua ya ufunguzi.
 Wadau mbalimbali na viongozi wa dini wakiendelea kuwasili
Dua ikiendelea..
 Kutoka kushoto ni Ndg Majid, Khamis na Haruna Goronga
 Mdau Abbas pichani kulia , kushoto ni Mdau Zakh Visram na katikati ni Abbas Pizzelia.
Sehemu ya wadau waalikwa katika shughuli hii ya dua iliyo andaliwa na familia ya marehemu Sadru Visram kwa ajili ya kuwa rehemu wazazi wao.
 Maulana alipata fursa ya kushusha dua moja kwa moja kutoka katika Android
Haji Abbas na Mzee Kabyemela wakiitikia dua.





Haji Hashim Komugunda kushoto na Ndg Fadhili
 Haji Sadick Galiatano kushoto na Mh. Ibrahim Idd Maburuk pichani kulia
Mdau Tahimur(Karama), Mdau Gulam Scandr Visram na Mdau Rahim Abdulrahim Kabyemela
Shebby Sonara naye ndani
 Upande wa akina mambo hali ilikuwa hivi

Huyu ndiye mama mjane wa Marehemu Sadru Visram.
Taswira mbalimbali ilivyokua katika shughuli hii ya dua iliyo andaliwa na familia ya Marehemu Sadru, iliyofanyika mchana wa leo nyumbani kwake Miembeni Bukoba jirani kabisa na NSSF ya zamani.
Mdau msomaji kwa picha na matukio zaidi ungana nasi kupitia facebook pia kumbuka ku like ukurasa huu

 Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa nasaha juu ya kuwatendea mema wazazi wote wawili, kuwatukuza na kuwaheshimu na akatuusia kuwarehemu na faida yake.
 Katika hali ya utulivu wadau wakimsikiliza sheikh Haruna.
Sehemu ya waalikwa wakiendelea kupata msosi safi.

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera , Sheikh Haruna Kichwabuta akipata huduma ya chakula.
 Baada ya shibe ni 'Mikono juu'!!
Huyu naye akasema; hii shughuli ngoja nijaribu kulala..!
 Wanafamilia na wadau mbalimbali wakapata fursa ya kupiga picha za pamoja.
 Kupitia Bukobawadau Blog muendelezo wa picha kwa ajili ya kumbukumbu

Picha na matukio zaidi ingia hapa na kumbuka ku like ukurasa huu 
Mdau Abdulrafhiu akibalishana mawazo na haji Kazinja.
Kingine cha ziada kutoka kwa Mzee Abdulziad ni Upendo.
Nassor na ndugu Mzee.



Next Post Previous Post
Bukobawadau