HAPA NA PALE NA CAMERA YETU TASWIRA MBALIMBALI ZA MJI WA BUKOBA
Picha safi ya kisiwa cha Musila, huu ni ujio wetu mwingine kabisa.
Furahia Bukobawadau blog, furahia maeneo mazuri yenye kuvutia mjini Bukoba
Maeneo yenye fursa ya kuwekeza na yenye kuvutia utalii
Uvuvi ukiendelea ziwani Victoria.
Taswira katikati ya Mji wa Bukoba
Muonekani wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Kashura
Gereji kwa Mlima.
Maeneo ya Bunena Kanisani
Kanisa Kuu la Kash0zi
Usawa wa Kashura pembezoni mwa ziwa victoria
Sehemu ya kuoshea magari iliyopo machijioni, tatizo ni pale tu utakapo hitaji kupaendeleza..
Viwanja Vya Gymkhana wadau wakicheza Cricket
Fukweni maeneo ya Space Beach
Mjengo iliopo maeneo ya Kashura.
The WalkGard Hotel