Bukobawadau

KAPOTIVE STAR SINGER-BUKOBA KUWASHA MOTO KESHO 10 NOV 2013 NDANI YA 'TRIPLE A' JIJINI ARUSHA HII SI YAKUKOSA !!!!

 Njiani kuelekea jijini Arusha, wanaonekana waimbaji wa kundi la Kapotive Star Singer-Bukoba wakipata msosi maeneo ya singida mapema ya leo.
Bukobawadau Blog tunapenda kuwajulisha wadau na mashabiki wa Kapotive Star Singer, waliopo pande za Arusha na maeneo ya jirani,Jumapili hii tar.10/11/13 yaani siku ya kesho wapo kwenu. Ni katika ukumbi wa TRIPLE A, kuanzia saa 8 mchana hadi 2 usiku. Ni uzinduzi wa album yao mpya ya Zawadi ya Krismass. 
 Safari ikiendelea kuelekea Arusha, shukrani kubwa kwa Kiriyera Tours na Mr Willy kwa support kubwa wanayo endeleza.

Kiingilio ni kama ifuatavyo: Single size ticket- 10,000, na Family size ticket (Watu 6) 50,000. 
Watu wote mnakaribishwa!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau