Bukobawadau

KIPINDI MAALUM TOKA SWAHILI TV MAZISHI YA BI. MARTHA SHANI NCHINI TANZANIA

Tunawaletea kipindi maalum cha Mazishi ya mpendwa na kipenzi chetu Bi. Martha Shani aliyefariki ghafla nchini Marekani na kuja Kuzikwa nyumbani Tanzania. Katika Kipindi hiki utaona matukio mbalimbali katika safari ya mwisho ya Bi. Martha Shani kuanzia mwili kuwasili Airport Dar es Salaam hadi Singida, Tanzania.
Next Post Previous Post
Bukobawadau