KADETFU INAWALETEA MRADI WA NISHATI ENDELEVU KWA MAENDELEO YA UCHUMI
Katika Picha ni Mitambo inayotoa gesi
KADETFU (Kagera Development and Credit
Revolving Fund) tunatekeleza mradi wa Nishati endelevu kwa maendeleo ya uchumi
(SEED) unaotumia samadi na mabaki ya chakula ili kupata GESI ya kupikia na
kuwasha taa. Ni teknolojia inayohifadhi maingira pia.
Tunawakaribisha kutumia biogas kuokoa
mazingira na kwa matumizi ya nyumbani na kwa bihashara yako ndogo.
Tunawakaribisha kujifunza na kutumia
tekinolojia mpya na rahisi.
Wasiliana na :
KADETFU
Tel/Mob: +255 (28) 2220717/
754740267/763943050
E-Mail: kadetfu@gmail.com