Bukobawadau

TASWIRA ZA MAZISHI YA MAREHEMU GABRIEL ANDERSON MUNISSI MCHANA HUU KIJIJINI MASAMA MOSHI KWAO

 Mwili wa Marehemu Gabriel Anderson Munissi ukiwasili nyumbani kwao kijijini Mudio Mosho Wilaya ya Hai tayari kwa mazishi mchana huu Nov22,2013
 Ndg Nuel pichani kushoto rafiki mkubwa wa familia  akiwa na Kaka wa Marehemu Ndg Edo  Munissi
Mdau Elasmus George na Kaka Mkuu Ernest E. Nyambo walipokutana na Kaka wa Marehemu Gabriel,  Ndg Edo Munissi kijijini Masama Mudio Moshi Wilaya ya Hai hii leo.
 Muonekano wa Jeneza la Marehemu Gabriel Anderson Munissi aliyefariki tarehe 19 N0v, 2013 kwa kujipiga risasi kwa kile kinachosadikiwa ni wivu wa mapenzi
Baba na Mama wa Marehemu Gabriel Anderson Munissi, Kanal Munissi na Mkewe.
Sehemu ya watu waliofika msibani hapo.
Sehemu ya wafiwa wakitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Gabriel Anderson Munissi  aliyefariki tarehe 19 N0v, 2013 kwa kujipiga risasi kwa kile kinachosadikiwa ni wivu wa mapenzi
Dada wa Marehemu  kwa jina anaitwa Grory aimuaga mdogo wake.
Mdau E. Nyambo akimuaga rafiki yake.
Kadanke Eras akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Rafiki yake.
Mdau Waziri Kabago akishiriki katika kutoa heshima za mwisho kuuaga mwili wa marehemu.
 Mdau Nuel  Nyamubi baada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Gabriel Anderson Munissi.
Waziri Kabago
Hatua za mwisho katika ujenzi wa Kaburi.
 Sehemu yaWadau kutoka Bukoba na Mwanza .
Hapa ni nyumbani kwa marehemu jijini Mwanza.
 Kwa habari na matukio zaidi jiunge nasi moja kwa moja kupitia ukurasa wetu wa facebook kupitia link hiihttps://www.facebook.com/MdauMcBaraka
 Muonekano wa nyumi kijijini Moshi.
Wadau kutoka kanda ya ziwa.


TIMU NZIMA YA BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WANAFAMILIA KWA MSIBA HUU MZITO!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau