Bukobawadau

WATANZANIA UINGEREZA WAJITOKEZA KUMUAGA RAIS KIKWETE

Rais Jakaya Kikwete akiongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London. Rais Kikwete alikuwa anarejea nyumbani Tanzania mara baada ya kumaliza mkutano wake wa OGP (Open Government Partnership) uliofanyika London nchini Uingereza. Pembeni yake kulia ni Bi Mariam Mungula, Kaitbu wa CCM UK.
Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Owino akiongea jambo na Rais Kikwete
Rais Kikwete akijibu swali la Ndugu Maina Owino 

Rais Kikwete akielekea kusalimiana na watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni
Mwenyekiti wa CCM UK akisalimiana na Rais Kikwete na kumshukuru kwa muda wake aliojitoela kuongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza jioni ya jana kumuaga.

Said Surur aksalimiana na Rais Kiwete pembeni yake ni Ndugu Ahmed Dibibi, Hussein Kova na Gonex
Ndugu Kapinga na Mohamed Upete wakisalimiana nakuagana na Rais Kikwete
Hussein Kova na Gonex wakisalimiana na kuagana na Rais Kikwete
Rais Kikwete akisalimana na Diaspora blogger Jestina George Meru
Rahma Lupatu akiwa katika pose na Rais Kikwete mud mchacehe kabla hajaondoka 
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London.
Baada ya kuagana na Rais Kikwete wadau waliojitokeza kumuaga walipata fursa ya kupiga picha na kubadilishana mawazo na Waziri wa Sheira na Katiba Mhe. Mathias Chikawe (watano kushoto).
Waziri wa Sheira na Katiba Mhe. Mathias Chikawe akiwa katika picha ya pamoja wa watanzania waishio UK kutoka kushoto ni hussein Kove, Mariam Mungula, Mhe. Waziri, Kapinga Kangoma na Mohamed Upete.


Mhe. waziri Chikawe akibadilishana mawazo na wadau
Jestina George, GONEX & Hussein 
Moi & Hussein
Hussein, Said Sururu & Gonex
Moi & Fred Maro (mpiga picha wa Ikulu)
Mariam Mungula, Rahma Lupatu, Mhe. Chikawe & Mrs. Meru
Mhe. Chikawe katika picha ya pamoja ya Ahmed 
Mhe. Chikawe akibadilishana mawazo na Mariam & Ahmed
Mazungumzo yakiendelea
Mariam & Ahmed wakibadilishana mawazo
Nayla, Munira, JwaD, Mariam, Rahma & Ahmed
Picha na Jestina George 

Next Post Previous Post
Bukobawadau