Bukobawadau

CHECK HEKAHEKA ZA MCHANA WA X-MASS MJINI BUKOBA DEC 25,2013

Ni majira ya saa 11 alasili,Camera yetu  katika pitapita  za hapa na pale kwa lengo la kukufikishia yanajili wewe mdau mpenzi na shabiki wa Bukobawadau Blog.
Ikiwa leo ni siku  X-mas Decembar 25,2013,wakati wakristo duniani kote wanasherekea birthday ya Yesu.
Camera yetu moja kwa moja mpaka kiwanja hiki cha Victorious Hotel.
Nakutana na meza moja ya wadau ikiwa imechangamka.
Mzee Bayona kushoto, Mdau Bushira,Shafi  na Jemedali Ben Mulokozi.
Mdau Basibila akisikilizia .
Sehemu ya wadumu wa Victorious Hotel.
Bukobawadau tunasema Emigisha ebe naiwe omukilo kya mbwenu! Mwakihyukao
Mtaalam Dj Ray akiwa tayari kwa kusababisha ndani ya Linas Night Club.
 Dj Odella akiwajibika mchana wa leo, ikiwa ni disco toto ndani ya Linas Night Club
Muonekano wa Nje ya Jengo la (Kisima cha burudani)Linas Night Club.
Mlangoni kuingia ndani ya Club Linas.
P.A hii ni juu ya onyesho la burudani za ngoma za asili,litakalo shirikisha vikundi vya Uganda na Tanzania , Onyesho hilo linatalajiwa kufanya usiku wa leo Dec 25,2013 ndani ya ukumbi wa Linas night Clu
Space Beach Motel kwa Mzee Kelvin.
 Matangazo ya barabarani yakiendelea kwa ajili ya Onyesho la ngoma za asili litakalofanyika usiku wa leo ndani ya Linas Night Club.
Mkusanyiko wa watoto wakishuhudia kile kinacho endelea.
Show hii ipo chini ya Udhamini wa Zachwa Investment wakishirikiana na Kiroyera Tours
Burudani kidogo katika kuwaamasisha watu
Muendelezo wa matukio ya muda mchache uliopita, hiki ni kikundi kutoka nchini Uganda.
 Hekaheka  maeneo ya space Beach.
Mkanyagano wa watu ni mkubwa,katika eneo hili la daraja la Bukoba Club.
Mambo ya mtoko wa kristmass.
Hali ni tete maeneo haya ya ziwani, habari ambazo hazijadhibitishwa zinasema tayari mtoto mmoja amezama majini kutokana na msongamano wa watu
 Mambo ya sikukuu  kila mtu na yake!!
 Darajani kuelekea ziwani


 Leo ni Siku ya meli Bukoba-Mwanza.


 Mdau maarufu kwa uchomaji wa nyama , akiwa maeneo yake ya Bukoba Club
 Bukoba Club mpaka saa 11 jioni ya leo hali ilikuwa hivi.
 Tukiwa bado Bukoba Club, hivi ndivyo vijana wa Mzee Emma wanavyo wajibika.
Kijana Hodax mhudumu wa Jikoni hapa Bukoba Club.
Kwa haraka haraka Camera yetu ikikuangazilia pande za Bukoba Cop Hotel zamani Yaasila.

Next Post Previous Post
Bukobawadau