Bukobawadau

CHECK PICHA 47 BORA ZA MWAKA 2013 KUTOKA REUTERS ANGALIZO BAADHI YA PICHA ZINASIKITISHA!!

 Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2013, shirika la habari la kimataifa Reuters limetoa picha bora za mwaka huu,‘The most astonishing pictures of 2013’, zikiwemo za baadhi ya matukio makubwa ya mwaka huu.
 Miongoni mwa picha hizo zimo za tukio la kigaidi lililoitikisa Afrika Mashariki, la kuvamiwa kwa jengo la biashara la Westgate nchiniKenya.
 Hizi ndizo ‘The most astonishing pictures of 2013’ kwa mujibu wa Reuters
SOURCE: MAIL ONLINE
Next Post Previous Post
Bukobawadau