Bukobawadau

CHECK TASWIRA YA HARUSI YA MARTIN &JANE MALINGA

 Sehemu ya matukio katika usiku mwanzo wa harusi unaoashiria kuanza kwa maisha shirika baina ya Ndg Martin na Bi Jane
 Naaam!! hakika tumeweza kuona na kusherekea maharusi mengi lakini katika hii ni kama Mwenyezi  Mungu anadhihirisha kwa namna ya waziwazi,kwanza check furaha  waliyonayo Martin na Bi Jane ukweli ni kwamba utakubaliana na maneno yangu!!
Hivi ndivyo Mc Jackson Zachary akiwa kajipanga vyema kuakikisha hakialibiki kitu.
Maharusi na wapambe wao  walivyopendeza.
Ndani ya nyeusi na nyeupe muonekano wa Maharusi wakiwa wamepozi kwa picha ya pamoja
Next Post Previous Post
Bukobawadau